TRAFFIC KINGWENDU FULLMOVE [KAZI YA LAWAMA HAKUNA ANAYEMPENDA TRAFFIC FULLMOVEHD
Автор: JUA NA NYOTA
Загружено: 2026-02-26
Просмотров: 12939
Описание:
Nimefanya kazi kwamda sasa lakini napokea lawama kwa madereva kulingana nakazi yangu ya traffic nafikia kujutia hii kazi japo nimekuwa mstali wambele kuwaudumia madereva vizuri
tatizo vazi jeupe na kazi yangu naamini sio wote tunanyanyasa madereva lakini chuki zinatukuta wote nakuichukia hii kazi naokuona imekuwa fimbo ainipi laha yakazi nakulingia kazi
kilichoniumiza nilifiwa na baba yangu majirani wengi
hawakufika msibani nakusema kazi yake ikachimbe kaburi
NISIKUMALIZIE UONDO FATILIA FILAMU NZURI YA KISA CHA TRAFFIC AMBACHO KINACHO UMIZA NAKURIZA KUZILIWA MAITI AZIKE MWENYEWE
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: