Mashirika ya haki za binadamu wanasema idadi ya huntha huenda ikawa juu zaidi
Автор: VOA Swahili
Загружено: 2023-08-02
Просмотров: 431
Описание:
Mnamo mwaka 2019 Kenya ilikuwa katika mataifa ya kwanza barani Afrika kuwahesabu watu wenye jinsia zaidi ya moja. Ungana na mwandishi wetu akikuletea sababu zinazoashiria kuwa idadi iliyopatikana inawezakana ikawa ndogo kutokana na watu kutojitokeza kwa sababu za unyanyapaa kama zinavyoelezwa na mashirika ya kutetea haki za binadamu. Endelea kusikiliza...
#huntha #voa #voaswahili #kenya #hakizabinadamu #jinsia #unyanyapaa #dunianileo
- - - -
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: