Njia Rahisi ya kupika KEKI ya LIMAO (LEMON CAKE) | Jinsi ya kupika KEKI ya Limao nyumbani
Автор: BelsFarm Kitchen Swahili
Загружено: 2021-09-17
Просмотров: 4461
Описание:
Je unajua kupika keki ya limao? Njoo ujifunze Jinsi ya kupika keki ya limao kwa Njia rahisi kabisa.
MAHITAJI;
Unga wa ngano (250g / vikombe 2 vya chai)
Maziwa ya mgando (250ml / robo Lita)
Mayai 3
Sukari (200g / 3/4 kikombe Cha chai)
Baking powder (vijiko 2 vya chai)
Chumvi
Mafuta ya kupikia (120ml / 1/2 kikombe Cha chai)
Maji ya limao (vijiko 2 vya chakula)
Ganda la limao lililosagwa (kijiko 1 Cha chakula)
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: