Скачать
BARABARA YAZUA TAHARUKI SONGEA
Автор: RUVUMA TV
Загружено: 2019-09-25
Просмотров: 2612
Описание: Meneja wa TARURA Manispaa ya Songea ambaye pia ni mshauri wa mkurugenzi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Matomondo Planetbar na Buhemba Annex iliyopo manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, Boniphace Mwakia ,amesema habari inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikionyesha ujenzi wa barabara hizo umekamilika huku chemba zikiwazimejitokeza juu ya barabara hizo si za kweli bado mkandarasi hajamaliza ujenzi wa barabara hizo.
Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: