AJALI: Watoto watatu wa familia moja waliokuwa kwenye bodaboda moja wapoteza maisha
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-08-02
Просмотров: 16469
Описание:
Watu wanne wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilaya ya Bahi na wilaya ya Dodoma ambapo kati ya waliofariki ni pamoja na watoto watatu wa familia moja.
Kamanda polisi mkoa wa Dodoma Gilles Muroto amesema watoto watatu wa familia moja waliofariki dunia wana umri chini ya miaka mitano na walikuwa na mama yao wakiwa abiria kwenye usafiri wa pikipiki (bodaboda)
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: