Matatizo ya Tezi ya Koo na dhana zake potovu
Автор: RFI Kiswahili
Загружено: 2025-05-20
Просмотров: 343
Описание:
#Wolrdthyroidday#tdakvoices#tezikoo
Katika makala haya tunaangazia matatizo ya tezi koo ambayo yana dalili kama vile mapigo ya moyo ya haraka, kukatika nywele, kukosa nguvu na matatizo ya uzazi. Matatizo haya yanaweza kudhaniwa ni matatizo ya akili .Tumezungumza na wagonjwa wanaoendelea na matibabu na pia mmoja ambaye ametibiwa kwa njia ya upasuaji kuondoa sehemu ya tezi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: