BAADHI YA 'SHOWROOMS' DSM VINARA UTAPELI MAGARI
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2026-03-02
Просмотров: 949
Описание:
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezibua mfululizo wa kashfa za dhuluma na utapeli jijini humo, akitoa onyo kali kwa wamiliki wa 'showrooms' za magari wanaowadhulumu wateja wa mikoani na walezi wanaofuja urithi wa watoto yatima. Katika hatua ya kusafisha hali ya ardhi, Chalamila ametoa makali ya siku saba kwa watu wote waliojipatia ardhi kwa njia zisizo halali kuzirejesha kwa wamiliki wa kweli kabla ya kuumbuliwa hadharani, huku akifungua milango ya ofisi yake kwa wiki moja kutatua kero za wananchi wenye nyaraka halali.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: