🔴LIVE: ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU , YA KUWAOMBEA NA MAZISHI YA MASISTA WANNE WAKARMELI
Автор: Tumaini_Tv
Загружено: 2025-09-18
Просмотров: 16749
Описание:
MISA TAKATIFU YA KUWAOMBEA NA MAZISHI YA MASISTA SHIRIKA LA MASISTA WAMISIONARI WAKARMELI
WA MTAKATIFU TERESA WA MTOTO YESU WALIOFIKWA NA UMAUTI KWENYE AJALI YA GARI JIJINI MWANZA , WATAWA HAO WA KIKE NI MAMA MKUU WA SHIRIKA HILO DUNIANI ( Sr. M. Lilian Kapongo, CMSSTCJ ), MSHAURI MKUU NA KATIBU ( Sr. M. Lilian Kapongo, CMSSTCJ) , MSHAURI WA PROVINSI ( Sr. M. Damaris Matheka CMSSTCJ) NA ( Sr. M. Stellamaris Muthini, CMSSTCJ) | Picha hizi zinatengenezwa na TUMAINI MEDIA. Matumizi yoyote ya picha hizi ni marufuku bila idhini kutoka TUMAINI MEDIA
Hakimiliki © Tumaini Television - Haki zote zimehifadhiwa.Tafadhali Endelea Ku- Subscribe akaunti hii na bonyeza alama ya Kengele ili kupata taarifa zetu kwa wakati sahihi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: