ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

47. JavaScript Strings | Concatenation na Comparison Tips

Автор: Mohamed Hafidh Tz

Загружено: 2025-10-22

Просмотров: 43

Описание: Katika video hii utajifunza jinsi ya kutumia string operators kwenye JavaScript.

Tutajadili Concatenation, Template Literals, na Comparison ya strings pamoja na tips za kuepuka type coercion.

Pia utapata mifano rahisi ya kuunganisha strings na numbers bila makosa.

💬 Usisahau kulike, ku-comment, na kusubscribe kwa mafunzo zaidi ya JavaScript kwa Kiswahili!









⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐

🎥 Karibu sana kwenye Channel yangu! 🎥

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu:
🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
…na mengine mengi ya kuvutia! 🎉

📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪.

🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟
👉 Bonyeza kitufe cha Subscribe ili upate video mpya kila mara
👉 Washa kengele 🔔 ili usipitwe na taarifa mpya

🔗 Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii kwa updates zaidi:
📱Jiunge na Whatsapp Group letu:
https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram Channel: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram:   / mohamedhafidh_tz  
🎥 TikTok:   / mohamedhafidh_tz  
📺 YouTube:    / @mohamedhafidh255  

Asante kwa kuwa sehemu ya community yangu! Tunajifunza na kukua pamoja! 🙏


#javascript #coding #swahilitutorials

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
47. JavaScript Strings | Concatenation na Comparison Tips

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

© 2025 ycliper. Все права защищены.



  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности



Контакты для правообладателей: [email protected]