Ruto anadi sera Mlima Kenya
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 2927
Описание: Baada ya Kimya cha Muda Mrefu Kuzuru Eneo la Mlima Kenya, Mikakati ya hivi Punde ya Rais WIlliam Ruto inaonekana kubadili taswira hiyo na kurejelea uhusiano Wake na Wakaazi wa Mlima Kenya.Rais akifanya mkutano huko sagana na wanachama na viongozi wa UDA kutoka eneo hilo, amenadi maendeleo yake na kusistiza kwamba hakuna yeyote atakayemtenganisha na eneo hilo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: