DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Disemba 20, 2024 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2024-12-20
Просмотров: 6806
Описание:
#DWSwahili #HabarizaUlimwengu #dwkiswahili
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Disemba 20, 2024 |Mchana | Swahili Habari leo | Ripoti na Uchambuzi | Taarifa ya Habari | Matangazo ya DW | Dunia yetu.
-Akikabiliwa na uasi wa kundi la M23 huko mashariki mwa nchi, Rais Félix Antoine Tshisekedi amefanya mabadiliko makubwa katika uongozi wa jeshi. Luteni Jenerali Banza Mwilambwe Jules ndie mkuu mpya wa majeshi ya Kongo.
-Marekani inakabiliwa na hatari ya kufungwa kwa shughuli za serikali kesho Jumamosi.
-Viongozi wakuu wa mataifa ya Umoja wa Ulaya wanakutana mjini Brussels kujadili masualaa kadhaa muhimu, ikiwemo msaada kwa Ukraine.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: