PIPI | PART 02
Автор: Lumbasi Simulizi
Загружено: 2025-08-05
Просмотров: 12661
Описание: Siku iliyofuata nilienda kazini kama kawaida… lakini mwili haukuwa sawa. Nilikuwa na kizunguzungu tangu asubuhi, lakini nikaamua kuforce kazi kama kawaida.Mchana wa saa saba nilikuwa nikitoka ofisini kwangu,ghafla nilianza kuona kizunguzungu nikaona giza mbele ya macho yangu… nikajikuta nateleza na kuanguka chini.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: