AJINYONGA BAADA YA KUMKABA MKE WAKE KOO ARUSHA, "MKE ALIJIFICHA BAFUNI USIKU KUCHA"
Автор: GADI TV
Загружено: 2022-02-08
Просмотров: 8466
Описание:
Mtu mmoja anayefahamika kwa majina Athuman Juma mwenye umri wa miaka 26, Mkazi wa Olasity Mkoani Arusha amekutwa akiwa amefariki chumbani kwake ikihisika amejinyonga baada ya kuibuka kwa ugomvi baina yake na mkewe Jijini humo.
Inaelezwa kuwa wanandoa hao walikuwa na ugomvi ambao ulisababisha mke kuondoka nyumbani hapo, na baadae Mwanaume huyo alimtaka mke wake arudi nyumbani ili kuweza kumaliza tofauti zao na hatimaye mke huyo alirejea nyumbani lakini katika mazungumzo yao suluhu haikupatika, jambo lililopelekea ugomvi mwingine kuibuka na mume kudaiwa kumkaba koo mke wake akitaka kumnyonga na baadae mke kujiokoa kwakukimbilia chooni na kujifungia, ndipo mwanaume huyo inadaiwa muda huo mke akiwa bafuni alichukua hatua ya kujinyonga, huku chanzo cha ugomvi wao kikiwa haujajulikana.
#breakingnews #live #like #live #kilimanjaro
GADI TV ndiyo
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: [email protected]
Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV
Thanks.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: