ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA MUSOMA - 05/09/2018

Автор: Azam TV

Загружено: 2018-09-05

Просмотров: 70728

Описание: Rais Magufuli leo tarehe 05 Septemba, 2018 ameendelea na ziara yake katika mkoa wa Mara ambapo amezindua mradi wa maji safi na usafi wa mazingira wa Manispaa ya Musoma, kufungua barabara ya Simiyu/Mara – Musoma na kisha kuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Mukendo Musoma Mjini.

Katika hotuba yake Rais Magufuli ameelezea kutoridhishwa na hatua zinazochukuliwa na viongozi wa Wizara, Mkoa wa Mara na vyombo vya dola dhidi ya mfanyabiashara Nyakilang’ani ambaye amelalamikiwa na wananchi wa Mwisenge katika Manispaa ya Musoma kuwa baada ya kuuziwa hoteli ya Musoma amezuia wananchi kukatiza katika eneo hilo wanapotaka kwenda katika mwambao wa ziwa Victoria na hivyo kulazimika kuzunguka umbali mrefu.

“Hoteli hii imechukuliwa tangu miaka 10 iliyopita, haijaendelezwa, wananchi wanakosa ajira, Serikali inakosa mapato halafu viongozi mpo mnamuangalia tu, huyohuyo Nyakilang’ani amepewa mradi wa maji wa mji wa Bunda huu mwaka wa 8 na mpaka sasa hautoi maji, viongozi mpo hamchukui hatua.

“Sasa nataka hoteli ya Musoma iliyojengwa na Baba wa Taifa kwa nia yake njema ya kuiendeleza Musoma ichukuliwe kwa sababu ameshindwa kuiendeleza” amesisitiza Rais Magufuli.

Rais Magufuli pia amewahakikishia wananchi wa Mkoa wa Mara kuwa Serikali itahakikisha inaujenga kwa kiwango cha lami uwanja wa ndege wa Musoma ili uweze kupokea ndege kubwa na ndogo, na kukamilisha ujenzi wa hospitali ya Musoma haraka ili ifanane na hadhi ya hospitali iliyopo katika Mkoa aliozaliwa Baba wa Taifa.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA MUSOMA - 05/09/2018

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018

HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA BARIADI - 08/09/2018

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA BARIADI - 08/09/2018

Magufuli ahutubia Mkendo Musoma

Magufuli ahutubia Mkendo Musoma

HOTUBA YA MHE.RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KWENYE MKUTANO MKUU WA 33 DAR ES SALAAM  03 OKT 2017

HOTUBA YA MHE.RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KWENYE MKUTANO MKUU WA 33 DAR ES SALAAM 03 OKT 2017

BREAKING: JPM Atembelea Shule Aliyosoma Nyerere

BREAKING: JPM Atembelea Shule Aliyosoma Nyerere

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018

Rais Magufuli ambana Mkurugenzi wa Manyoni kisa bibi wa miaka 90

Rais Magufuli ambana Mkurugenzi wa Manyoni kisa bibi wa miaka 90

RAIS DKT. MAGUFULI ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU BEI YA KOROSHO NCHINI 2018

RAIS DKT. MAGUFULI ATOA MSIMAMO WA SERIKALI KUHUSU BEI YA KOROSHO NCHINI 2018

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE UFUNGUZI WA HOSPITALI YA TAALUMA NA TIBA - KAMPASI YA  MLOGANZILA

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWENYE UFUNGUZI WA HOSPITALI YA TAALUMA NA TIBA - KAMPASI YA MLOGANZILA

Rais Magufuli amuweka kati RC, DC na Mkurugenzi akijibu kero za Wananchi

Rais Magufuli amuweka kati RC, DC na Mkurugenzi akijibu kero za Wananchi

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI YA ALMASI NA TANZANITE

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA UCHUNGUZI WA MADINI YA ALMASI NA TANZANITE

HOTUBA YA RAIS DKT.  JOHN POMBE MAGUFULI  ALIPOWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA - IKULU DSM

HOTUBA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ALIPOWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA - IKULU DSM

BREAKING: MAGUFULI AMTUMBUA LUGOLA

BREAKING: MAGUFULI AMTUMBUA LUGOLA "UNANITESA, ONDOKA HAPA SINA URAFIKI KAZINI"

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUTEMBELEA   KIWANDA CHA SUKARI KAGERA

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUTEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA

RAIS MAGUFULI ALIVYO MFUKUZA MTU KAZI IKULU “MSUKUMA”

RAIS MAGUFULI ALIVYO MFUKUZA MTU KAZI IKULU “MSUKUMA”

"NENDA KAMKAMATE SASA HIVI, UMUWEKE NDANI HARAKA" - JPM

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI ALIPOWEKA JIWE LA MSINGI UPANUZI WA BARABARA KIMARA - KIBAHA

HOTUBA YA RAIS MAGUFULI ALIPOWEKA JIWE LA MSINGI UPANUZI WA BARABARA KIMARA - KIBAHA

🔴#LIVE: KAMPENI ZA MAGUFULI Afika MUSOMA Kunadi SERA Zake Kwa WANANCHI

🔴#LIVE: KAMPENI ZA MAGUFULI Afika MUSOMA Kunadi SERA Zake Kwa WANANCHI

HOTUBA YA DKT JOHN POMBE MAGUFULI UWANJA WA MAZAINA WILAYA YA CHATO JULAI 10,2017

HOTUBA YA DKT JOHN POMBE MAGUFULI UWANJA WA MAZAINA WILAYA YA CHATO JULAI 10,2017

🔴#LIVE: HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIFUNGUA RASMI BUNGE LA 12 JIJINI DODOMA...

🔴#LIVE: HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIFUNGUA RASMI BUNGE LA 12 JIJINI DODOMA...

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]