Karibu Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi - MoCU
Автор: Tuujenge Ushirika
Загружено: 2024-05-19
Просмотров: 394
Описание: Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi – MoCU kipo katika Manispaa ya Moshi katika Mkoa wa Kilimanjaro. Chuo Kikuu kina Taasisi ya Elimu ya Ushirika na Biashara - Kizumbi iliyoko katika Mkoa wa Shinyanga - KICoB. Aidha, Chuo kina ofisi za mikoa 13 zinazohudumia mikoa yote nchini Tanzania. Ofisi hizi ziko Mtwara (inahudumu mikoa ya Mtwara na Lindi), Mbeya (inahudumu mikoa ya Mbeya, Rukwa na Songwe), Kilimanjaro (hu inahudumu dumu mikoa ya Kilimanjaro na Arusha), Shinyanga (inahudumu mikoa ya Shinyanga na Simiyu), Mwanza (inahudumu mikoa ya Mwanza, Geita, Mara na Kagera), Iringa (inahudumu mikoa ya Iringa na Njombe), Dodoma (inahudumu mikoa ya Dodoma na Morogoro), Pwani (inahudumu mikoa ya Pwani, Dar-es-Salaam, Visiwa vya Unguja na Pemba), Singida (inahudumu mikoa ya Singida na Manyara), Ruvuma, Tanga, Tabora na Kigoma (inahudumu mikoa ya Kigoma na Katavi).
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: