MAFUNZO YA SIKU 10 ZA KUWAJENGEA UWEZO WA KUJITAMBUA VIJANA WA KIISLAM, IKIWA NI SIKU YA TATU
Автор: JUKTAMKIZ
Загружено: 2026-01-09
Просмотров: 242
Описание:
JUMUIYA YA KUIMARISHA TAALUMA NA MAADILI YA KIISLAMU ZANZIBAR (JUKTAMKIZ)
Hii ni Jumuiya iliyoanzishwa kwa lengo la kuunganisha, kuhamasisha, Kuimarisha na kuisaidia jamii kwa kushirikiana na taasisi mbali mbali katika harakati za kupeleka mbele maendeleo ya wanajamii ili kujikomboa kiimani, kiutamuduni, kifikra, mawazo, mitazamo, kielimu, kiafya na kiuchumi ambapo hatimae kupata jamii iliyo bora.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: