Wafanyabiashara watuhumiwa kuuza sukari kinyume na bei elekezi
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-01-30
Просмотров: 1025
Описание: Shehena ya sukari iliyoagizwa kutoka nje ya nchi imeanza kuwasili jana huku msako wa bidhaa hiyo ukiendelea wilayani Nachingwea mkoani Lindi ambapo baadhi ya wafanyabiashara wanatuhumiwa kuuza sukari kwa Shilingi 4,800 hadi 5,000 kwa kilo moja kinyume na bei elekezi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: