VOH-Zanzibar - Sijamwona Mwingine (Official Live Video)
Автор: VOICE OF HOPE_ZANZIBAR
Загружено: 2025-08-27
Просмотров: 2883
Описание:
Huu ni wimbo wa kumimina Ibada Yetu Kwa Mungu pia unaoleta faraja na matumaini mapya Rohoni.
Hakuna mwingine kama Yesu,
Tunamwamini na kumpenda kwa moyo wote,
Yeye ndiye mganga na mponyaji wa maisha yetu.
Voice of Hope – Zanzibar tunakuletea ujumbe huu wa imani kwa sauti za upendo na shukrani, tukikiri kuwa tumaini letu lipo kwa Kristo peke yake, tafadhali ungana nasi.
🔔 Usisahau kusubscribe ili upate nyimbo zaidi kutoka kwetu.
❤️ Share video hii ili ujumbe wa tumaini ufikie wengi.
✍️ Toa maoni yako – Wimbo huu umekuongezea nini rohoni?
Tufuatilie kwa mitandao ya kijamii:
Facebook | Instagram | TikTok |
#gospelmusic #music #sijamwonamwingine #faith #healing #voiceofhope_zanzibar
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: