'MAULID MTULIA' Atoa Neno Akisubiri Matokeo ya Uchaguzi!
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-02-17
Просмотров: 7163
Описание:
'MAULID MTULIA' Atoa Neno Akisubiri Matokeo ya Uchaguzi!
Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM), Maulid Mtulia, amezungumza na Global Tv akiwa nje ya viwanja vya Biafra jijini Dar es Salaam, wakati akisubiri zoezi la kura kuhesabiwa likamilike na kisha tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) imtangaze, Mbunge atakaewawakilisha wananchi wa Kinondoni Bungeni.
Mtulia amezungumzia adha walioipata kufuatia mawakala wao wa CCM kutolewa nje ya vyumba vya kupigia kura, lakini pia amebainisha kuwa walifanya jitihada za haraka na kuzungumza na msimamizi wa uchaguzi na kisha mawakala hao wakaruhusiwa kuingia ndani.
Install #GlobalPublishersApp
Android: http://bit.ly/2AAQe1d
iOS: http://apple.co/2Assf4M
Subscribe / uwazi
FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: