ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MAKAMO WA PILI

Автор: Bahari Online TV

Загружено: 2026-02-27

Просмотров: 49

Описание: Sikiliza Bahari FM Radio 97.5 Unguja | 91.1 Pemba
-----
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema Mfuko wa Kuchochea Maendeleo ya Jimbo umesaidia katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo na upatikanaji wa huduma mbali mbali za kijamii.

Ameyasema hayo katika hafla ya ufunguzi wa mafunzo kwa wabunge wa CCM wa Zanzibar pamoja na wakuruenzi wa Halmashauri za Unguja na Pemba yaliyofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Amesema kukutana pamoja kwa wabunge wa CCM Zanzibari kunatoa fursa ya kutoa maoni yao na kujadili namna bora ya kuifanyia marekebisho sheria ya Mfuko wa Jimbo ili kuweza kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.

Aidha Mhe. Hemed amewataka wabunge na watendaji wa Halmashauri kuondoa kasoro na vikwazo vilivyopo na kuweka mazingira rafiki ya utendeji wa kazi hasa kaika utekelezaji wa miradi ya maendeleo majimboni.

Amesema kuwa dhamira ya dhati ya Serikali ni kuhakikisha kuwa Mfumo wa Mfuko wa Maendeleo ya Jimbo unakuwa ni wenye tija na unaotekelezeka ambapo Sheria na miongozo yake lazima inaendane na hali halisi ya utekelezaji wenye uwazi, uwajibikaji na ufanisi katika matumizi ya fedha za Umma.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Halmashauri zake zitaendelea kufanya kazi na wabunge katika kuhakikisha fedha za mfuko wa maendeleo ya Jimbo zinatumika kama ilivyopangwa na kuleta tija kwa wananchi wote.

Sambamba na hayo Mhe. Hemed amewataka wabunge kushirikiana, kusaidiana na kuheshimiana jambo litakalopelekea kufikia malengo ya kuwaumikia na kuwasemea wananchi wa majimbo yao.

Ametoa wito kwa washiriki wa mafunzo hayo kuhakikisha wanashiriki vyema kwa kujifunza, kujadiliana kwa kina, kubadilishana uzoefu na kutoa maoni yeo kwa uwazi ambayo yatapelekea kuujenga mfumo unaheshimu misingi ya utawala bora, kulinda rasilimali za umma na kutoa fursa sawa kwa Majimbo yote.

Kwa upande wake Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Muungano na Mazingira Muhandisi Hamad Yussuf Masauni ambae ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wabunge wa CCM Zanzibar amesema lengo la kufanyika kwa mafunzo hayo ni kupata maoni ya wabunge wa Zanzibar ambayo yatasaidia katika kuifanyia marekebisho na maboresho sheria ya Mfuko wa kuchochea maendeleo ya Jimbo.

Mhandisi Masauni ameeleza kuwa Mfuko wa jimbo umekuwa ni nyenzo Imara ya kuchochea maendeleo na kutoa msukumo wa kufanya kazi kwa uwazi, uaminifu na ubunifu katika kutekeleza miradi ya maendeleo majimboni.

Aidha, amesema mafunzo hayo yataimarisha zaidi mahusiano kati ya wabunge na watendaji wa Halmashauri katika kufanya kazi zao ili kupunguza urasimu wa upatikanaji wa fedha za Mfuko wa kuchochea maendeleo ya Jimbo.

Nae katibu wa Umoja wa wabunge wa CCM Zanzibar Mhe. Zainab Abdalla Issa amesema wabunge wa Zanzibar wataendelea kufanya kazi kwa umoja na ushirikiano katika kuwahudumia wananchi wa Zanzibar pamoja na kuzielezea kazi kubwa zinazofanywa na viongozi za kuwaletea wananchi maendeleo.

Mhe. Zainab amesema upo umuhimu wa kuipitia upya sheria na Sera ya Serikali za mitaa ili ushiriki wa wabunge ndani ya Halmashauri uwe wa lazima ambao uawapa nafasi ya kusimamia vyema matumizi ya fedha za miradi na kuhakikisha zinatumika kwa malengo yaliyokusudiwa.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MAKAMO WA PILI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

#LIVE: MAHOJIANO NA KATIBU MWENEZI CCM ZANZIBAR CDe. MBETO

#LIVE: MAHOJIANO NA KATIBU MWENEZI CCM ZANZIBAR CDe. MBETO

🔥Тегеран ПЫЛАЕТ! Израиль ударил ТУДА, куда Иран НЕ ЖДАЛ. Трамп В ЯРОСТИ.Срочно обратился к НЕТАНЬЯХУ

🔥Тегеран ПЫЛАЕТ! Израиль ударил ТУДА, куда Иран НЕ ЖДАЛ. Трамп В ЯРОСТИ.Срочно обратился к НЕТАНЬЯХУ

SIKU 100 ZA DK MWINYI WIZARA YA UCHU WA BLUU NA UVUVI

SIKU 100 ZA DK MWINYI WIZARA YA UCHU WA BLUU NA UVUVI

😯ГУДКОВ: Так вот почему ПУТИНУ СТАЛО ПЛОХО! В Москве СРОЧНО ВСЕХ ПОДНЯЛИ. Дикий ВОЙ в Кремле

😯ГУДКОВ: Так вот почему ПУТИНУ СТАЛО ПЛОХО! В Москве СРОЧНО ВСЕХ ПОДНЯЛИ. Дикий ВОЙ в Кремле

«Իվանի շվիկը փչող» քոչարյանները, վիտոները, ձևիստները և իմ չսիրած Նիկոլը

«Իվանի շվիկը փչող» քոչարյանները, վիտոները, ձևիստները և իմ չսիրած Նիկոլը

⚡ЛИПСИЦ: ЭТО КОНЕЦ! У Путина ВСЁ ПАРАЛИЗОВАНО – экономике ХАНА. РФ накрыл ЖУТКИЙ КРИЗИС

⚡ЛИПСИЦ: ЭТО КОНЕЦ! У Путина ВСЁ ПАРАЛИЗОВАНО – экономике ХАНА. РФ накрыл ЖУТКИЙ КРИЗИС

⚡️НАЧАЛОСЬ! Новый лидер Ирана ИЗДАЛ ПЕРВЫЙ ПРИКАЗ. Взрывы ВЕЗДЕ. Ракеты на Израиль, Кувейт, Бахрейн

⚡️НАЧАЛОСЬ! Новый лидер Ирана ИЗДАЛ ПЕРВЫЙ ПРИКАЗ. Взрывы ВЕЗДЕ. Ракеты на Израиль, Кувейт, Бахрейн

RAIS MWINYI KATIKA DUA YA KUIOMBEA NCHI PEMBA

RAIS MWINYI KATIKA DUA YA KUIOMBEA NCHI PEMBA

💥РАШКИН: Трамп В ЯРОСТИ! Набросился НА ИЗРАИЛЬ. Этот удар по ТЕГЕРАНУ ИЗМЕНИЛ ВСЕ. Такого не ждали

💥РАШКИН: Трамп В ЯРОСТИ! Набросился НА ИЗРАИЛЬ. Этот удар по ТЕГЕРАНУ ИЗМЕНИЛ ВСЕ. Такого не ждали

AJABU KUONA SHUGHULI ZA KIJAMI KUPELEKWA MICHANG YA KIHARUS LAKINI KWENYE SUALA LA MADRASA TUK NYUMA

AJABU KUONA SHUGHULI ZA KIJAMI KUPELEKWA MICHANG YA KIHARUS LAKINI KWENYE SUALA LA MADRASA TUK NYUMA

MWENEZI CCM ZANZIBAR AFICHUA UKWELI UNAOPOTOSHWA NA ACT WAZALENDO, BEI VYAKULA ZAHUSISHWA

MWENEZI CCM ZANZIBAR AFICHUA UKWELI UNAOPOTOSHWA NA ACT WAZALENDO, BEI VYAKULA ZAHUSISHWA

WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZA NA WANANCHI WA LAELA-SUMBAWANGA

WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZA NA WANANCHI WA LAELA-SUMBAWANGA

⚡️ПЕРЕГОВОРЫ зашли в ТУПИК. Буданов СЛИЛ инсайды! Такого поворота в Кремле НЕ ЖДАЛИ!

⚡️ПЕРЕГОВОРЫ зашли в ТУПИК. Буданов СЛИЛ инсайды! Такого поворота в Кремле НЕ ЖДАЛИ!

Tusk: prezydent zdecydował o SAFE.

Tusk: prezydent zdecydował o SAFE. "To byłby niewybaczalny błąd"

SIKU 100 ZA DK MWINYI  WIZARA OMPR SERA URATIBU BARAZA ZA WAKILISHI

SIKU 100 ZA DK MWINYI WIZARA OMPR SERA URATIBU BARAZA ZA WAKILISHI

Новый лидер Ирана сбежал в бункер — вот что случилось дальше…

Новый лидер Ирана сбежал в бункер — вот что случилось дальше…

SIKU 100 ZA DK. MWINYI WIZARA YA ARIDHI

SIKU 100 ZA DK. MWINYI WIZARA YA ARIDHI

SIKU 100 ZADK MWINYI WIZARA YA KILIMO UMWAGILIAJI MALI ASILI NA MIFUGO

SIKU 100 ZADK MWINYI WIZARA YA KILIMO UMWAGILIAJI MALI ASILI NA MIFUGO

🤯ШЕЙТЕЛЬМАН: ТАЙНАЯ СДЕЛКА Трампа и Зеленского: Киев ДОБИЛСЯ СВОЕГО! Путина АЖ ТРЯСЁТ от злости

🤯ШЕЙТЕЛЬМАН: ТАЙНАЯ СДЕЛКА Трампа и Зеленского: Киев ДОБИЛСЯ СВОЕГО! Путина АЖ ТРЯСЁТ от злости

SIKU 100 ZA DK. MWINYI WIZARA YA UJENZI

SIKU 100 ZA DK. MWINYI WIZARA YA UJENZI

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]