Waziri Maghembe kuhusu kuuawa kwa aliyefanikisha kukamatwa "malkia wa pembe za ndovu"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-08-18
Просмотров: 15542
Описание:
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe amekutana na waandishi wa habari kueleza kuhusu wahalifu ambao wamekamatwa na meno ya Tembo.
Wakati akifafanua kuhusu kukamatwa kwa wahalifu hao na meno ya Tembo, Waziri Magembe ameeleza kuhusu Mpelelezi kinara aliyefanikisha kukamatwa kwa Yang Feng Glan maarufu kama ‘Malkia wa Meno ya Tembo’Wayne Lotter kuuawa kwa risasi na watu wasiojulikana.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: