KUTA ZA NYUMBA 100 ZAVUNJWA KUPISHA BARABARA ARUSHA
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2025-04-12
Просмотров: 2462
Описание: #HABARI: Hali ya taharuki imezuka kwa wakazi wa Kitongoji cha Olosiva wilayani Arumeru mkoani Arusha, kufuatia baadhi ya wakazi wa mtaa huo kuvunja kuta za nyumba zaidi ya mia moja kwa madai kuwa zimejengwa kwenye eneo ambalo barabara inatakiwa kujengwa, huku wenye nyumba ambazo kuta zao zimevunjwa wakipinga kitendo hicho.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: