'Mwanzo waliona huyu dada ni muongo anatafuta umaarufu sina Virusi vya Ukimwi'
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2023-11-30
Просмотров: 2480
Описание:
Cherry Abrahamu @mentor_cherry kijana anayeishi na maambukizi ya virusi vya Ukimwi aliyejizolea umaarufu kupitia mitandao ya kijami,kutokana na mfumo wa uhamashaji wake kuhusu elimu dhidi ya virusi vya Ukimwi anayoitoa kwa jamii.
Kwa sasa anaishi na mwenzi wake @jamaa_17 ambaye yeye hana maabukizi.
Mwandishi wa BBC Veronica Mapunda alikutana na @mentor_cherry na mwenza wake @jamaa_17 na kuandaa taarifa hii.
🎥: @eagansalla_gifted_sounds
#bbcswahili #tanzania #HIV
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: