PAUL SAMWEL – Akiimba wimbo wa Rehema Simfukwe X Joel Lwaga
Автор: Gospel Trends Media
Загружено: 2025-12-14
Просмотров: 427
Описание:
Paul Samwel ni kijana mlemavu wa miguu mwenye kipaji kikubwa cha kuimba muziki wa injili. Ameokoka na anamtumikia Mungu kupitia sauti yake, hasa kwa kuimba katika maeneo ya wazi kama stendi za mabasi, akiwafikia watu wa rika zote kwa ujumbe wa wokovu na tumaini.
Katika video hii, Paul Samwel anaimba wimbo “Wimbo wa Rehema” wa Simfukwe ft Joel Lwaga, wimbo unaogusa mioyo na kubeba ujumbe mzito wa neema na rehema za Mungu.
Sisi Gospel Trends Media tumewahi kufanya interview maalum na Paul Samwel, ambayo inapatikana kwenye channel yetu ya YouTube, ambapo anasimulia ushuhuda wa maisha yake na safari yake ya wokovu.
📍 Mahali: Mbezi Loius Stendi ya Mabasi
🎤 Mwimbaji: Paul Samwel
🎶 Wimbo: Wimbo wa Rehema – Simfukwe X Joel Lwaga
📺 Channel: Gospel Trends Media
Tafadhali Like, Comment, Share na Subscribe kwa maudhui zaidi ya injili yanayobadilisha maisha.
Mungu awabariki 🙏
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: