Kutana na nahodha wa kwanza wa kike wa meli za kivita Kenya
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2021-10-30
Просмотров: 1583
Описание: Faith Mwagandi ameweka historia kuwa mwanamke wa kwanza nchini Kenya kuendesha meli ya kivita. Alizaliwa katika dini ya kihafidhina pwani ya Kenya, lakini alipambana na dhana pingamizi dhidi ya wanawake na sasa analinda pwani za nchi yake. #VijanaMubashara #77Asilimia
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: