LIVE: MKESHA WA 23/01/2026 E.A.G.T KILIMANI CHURCH
Автор: KILIMANI CHURCH (EAGT)
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 128
Описание:
KARIBU KATIKA KANISA LA E.A.G.T- KILIMANI
Mpendwa mtu wa Mungu, tafadhali ungana nasi kusikiliza neno la Mungu mubashara kutoka hapa kanisani E.A.G.T - KILIMANI CHURCH lililopo MBEZI JUU, KAYUNI, Dar es Salaam
Tunazidi kumshukuru na kumtukuza Mungu kwa mema na makuu aliyotutendea mwaka wote huu. Asante sana kwa kujumuika nasi. Mualike na mwingine hapa na ndelea kufuatilia mafundisho mubashara.
USISAHAU KU-SUBSCRIBE NA KU-SHARE HABARI HIZI NJEMA
#kilimani #SEMINA#NenoLaMungu #EvangelisticAssembliesOfGodTanzania #semina #eagt
Pia unaweza kufuatilia mafundisho yetu kupitia facebook kwa jina la KILIMANI CHURCH EAGT
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: