Amos Wako akumbukwa kwa kuhudu kama mwanasheria kwa mihula miwili | Mirathi ya Siasa
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2020-05-18
Просмотров: 14693
Описание:
Amos Wako akumbukwa kwa kuhudumu kama mwanasheria kwa mihula miwili | Mirathi ya Siasa
Tangu Kenya ijipatie uhuru imekuwa na wanasheria wakuu chungu nzima, ila wanaokumbukwa kuhudumu kwa miaka mingi ni Sir Charles Njonjo na Amos Wako ambaye ni seneta wa Busia wakati huu. Wako anakumbukwa kuhudumu katika mihula miwili ya rais mstaafu Daniel Arap Moi na vilevile wakati wa Rais wa tatu Mwai Kibaki. Aliwahi kuwa mwenyekiti wa chama cha mawakili wa kenya LSK na kuwakilisha mawakili katika uliokuwa muungano wa nchi za Afrika O.A.U ambayo sasa ni au. Katika makala ya mirathi ya siasa tunamwangazia aliyekuwa mwanasheria mkuu Amos Wako
#Kenya #KTNNews #KTNPrime #COVID19 #CoronaVirus
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: / ktnnewske
Like us on Facebook: / ktnnewskenya
For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps: https://play.google.com/store/apps/de...
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: