Familia ya Mwamunyange yakanusha taarifa zinazotolewa katika mitandao.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2015-10-15
Просмотров: 6353
Описание: Familia ya Bwana Adolph Mwamunyange imekanusha taarifa zinazotolewa katika mitandao ya kijamii kuwa mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunganye amelishwa sumu na mitandao mingine ikidai amekufa na kuwataka watu wanaotoa taarifa hizo za uzushi kuacha mara moja.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: