UNANIWAZIA MEMA ( OFFICIAL RYLICS)
Автор: MINISTER ISAACK SAMSON
Загружено: 2026-01-30
Просмотров: 140
Описание:
Wimbo Unaniwazia ni wimbo wa kuabudu na kutafakari upendo wa Mungu usio na mipaka. Ni ushuhuda wa neema ya Mungu ambaye hutuwazia mema hata pale tunapopita katika magumu, majaribu na hali za kutukatisha tamaa.
Kupitia wimbo huu, utafarijiwa, utatiwa nguvu na kukumbushwa kuwa Mungu hajawahi kukuacha wala kukusahau.
📖 “Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi… mawazo ya amani wala si ya mabaya.” (Yeremia 29:11)
🔔 Usisahau Subscribe, Like, Comment na Share ili injili ifike mbali zaidi.
🙏 Mungu akubariki unapomsikiliza na kuabudu pamoja nasi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: