HARMONIZE AANGUA KICHEKO BAADA YA KUZIKUTA GARI ZA DIAMOND ZANZIBAR, ZIMEPAA ZIMEOGELEA?😂🙌❤ |GUSA👆.
Автор: MOKAH360
Загружено: 2025-02-26
Просмотров: 5651
Описание:
Msanii harmonize aangua kicheko kizito baada ya kuzikuta gari za msanii diamond platnumz kwenye parking ya hotel waliyofikia huko zanzibar
Wawili hao watapanda stage moja leo kwenye tamasha kubwa la ugawaji tuzo za trace awards ambazo msimu huu zinafanyika zanzibar usiku huu wasanii na watu mashughuri kutoka sehemu mbalimbali duniani wamehudhuria kushuhudia tuzo hizo.
#harmonize #diamond #zuchu #traceawards #artist #art #zanzibar #zanzibarisland #zanzibartours #tanzania #taarifa #bongofleva
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: