TUNATAKA KAZI ZA SERIKALI ZIFANYIKE MAKAO MAKUU YA NCHI-DKT. MWIGULU.
Автор: Habari kamili Tv
Загружено: 2026-01-22
Просмотров: 34
Описание:
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inataka kazi zote zifanyike makao makuu ya nchi ili kusogeza huduma karibu na Wananchi.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli hiyo alipotembelea Ofisi za Wizara ya Maji na Wizara ya Madini zilizopo mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma.
Endelea kufuatilia Habari Kamili Tv katika blog yetu @Habarikamilitvonline na youtube @Habari Kamili Tv
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: