DARSA NO 2 || Sheikh: Mustapha Allutfy
Автор: Markaz Al muizzu
Загружено: 2026-02-07
Просмотров: 16
Описание:
📖 MARKAZ AL-MUIZZU – MOROGORO 📖
🕋 “Tunakuongoza kwenye nuru ya Qur’an na Sunnah kwa uelewa wa Salafus-Swaalih.”
Hii ni channel rasmi ya Markaz Al-Muizzu, kituo cha elimu ya Kiislamu kilichopo Morogoro, Tanzania.
Kupitia ukurasa huu tunaleta mafundisho sahihi ya Kiislamu yanayojengwa juu ya Qur’an na Sunnah kwa uelewa wa Salafus-Swaalih.
Tunashirikisha:
🌙 Darsa na mihadhara ya kielimu
🕌 Khutbah na mawaidha mbalimbali
📚 Mafundisho ya fiqhi, aqeedah na adabu
🎙️ Nasaha kwa vijana, wazazi na jamii
🕋 Video za tafsiri na elimu ya Qur’an
Lengo letu ni kueneza elimu, kuimarisha imani, na kukuza maadili mema katika jamii ya Kiislamu.
Ungana nasi kwa kusubscribe, kushare, na kueneza kheri inshaaAllaah.
📍 Markaz Al-Muizzu – Morogoro, Tanzania
🕋 Elimu Sahihi ni Nuru Inayoongoza kwenye Hidaya.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: