ALICHOKISEMA MBOWE KUHUSU UENYEKITI CHADEMA, " TUTAPELEKANA AMBAKO SIKO, MPAKA JUMAMOSI.......
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-12-18
Просмотров: 4734
Описание:
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amewaomba viongozi, wanachama na makada waliofika nyumbani kwake kuwa wampe saa 48 za kutafakari ombi lao la kumtaka kuwania nafasi hiyo.
Pia, amewaeleza kuwa hataingia kwenye vita itakayokibomoa chama hicho bali ataingia kwenye vita itakayokijenga.
Mbowe ameyasema hayo leo Jumatano, Desemba 18, 2024 wakati akizungumza na wanachama hao nyumbani kwake, Mikocheni jijini Dar es Salaam.
“Nimesikia ombi lenu, nawaomba mnipe saa 48 za kutafakari kisha nitazungumza na wahariri wa vyombo vya habari Jumamosi (Desemba 21, 2024) hapahapa nyumbani kutoa msimamo wangu.
“Ninachowaahidi kuwa nitaingia kwenye vita itakayopasua chama, nitaingia kwenye vita itakayokijenga chama chetu. Kuanzia sasa hadi Jumamosi nitakuwa nafuatilia kwa karibu mambo yanavyokwenda, nikiona ch
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: