🐔 SIRI YA KUWA NA KUKU WENGI WA KIENYEJI NDANI YA MUDA MFUPI! 🚀
Автор: KingoFarm
Загружено: 2026-03-02
Просмотров: 2692
Описание:
Unataka kuwa na kuku wengi wa kienyeji na kuongeza kipato chako? 🐔💰
Kwenye video hii nimeelezea hatua muhimu za kufuata ili kuongeza idadi ya kuku wako kwa haraka na kwa usalama.
Utajifunza:
✅ Jinsi ya kuchagua mbegu bora
✅ Namna ya kutengeneza banda salama
✅ Lishe sahihi ya kuku wa kienyeji
✅ Kinga na tiba muhimu
✅ Njia bora ya kuongeza uzalishaji kupitia kuatamisha
Ukifuata maelekezo haya kwa umakini, utaona mabadiliko makubwa kwenye ufugaji wako ndani ya muda mfupi.
📌 Jiunge na kundi letu la WhatsApp kwa mafunzo zaidi (miezi 2 kwa Tsh 8,000/=).
📚 Tunazo pia Vitabu:
Safari ya Ufugaji (Toleo Jipya)
Tiba za Asili kwa Kuku
Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji
Ufugaji wa Broiler
Karibu tufuge pamoja 🐔
Ufugaji ni Fursa! 🔥
🏷️ Tags:
ufugaji wa kuku, kuku wa kienyeji, mbinu za kufuga kuku, jinsi ya kuwa na kuku wengi, lishe ya kuku, banda la kuku, kinga ya kuku, tiba za asili kwa kuku, uzalishaji wa kuku, biashara ya kuku, ufugaji Tanzania, kuku chotara, vifaranga, kutotolesha mayai, kuongeza kipato kwa kuku
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: