Ugonjwa wa kifafa | Wakenya washauriwa kutafuta tiba mapema
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2023-02-14
Просмотров: 190
Описание:
Wakenya wameshauriwa kujitokeza kutibiwa ugonjwa wa kifafa, Kenya ikijiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya kifafa duniani. Takriban wagonjwa millioni moja wanaugua kifafa humu nchini huku wizara ya afya ikisema kuna tiba ya ugonjwa huo lakini kwa wanaotafuta matibabu hayo mapema.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: / kbcchannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1news
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #ugonjwawakifafa #News
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: