55. Fahamu Kuhusu getElementsByClassName & getElementsByTagName Methods
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2025-10-30
Просмотров: 93
Описание:
Unajua namna ya kuchagua elements zaidi ya moja kwenye ukurasa wa HTML? 🤔
Kwenye video hii, utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kutumia getElementsByClassName na getElementsByTagName ndani ya JavaScript DOM ili kuchagua na kufanya kazi na elements nyingi kwa wakati mmoja.
Tutapitia mifano halisi inayoonyesha jinsi unavyoweza:
✅ Kuchagua elements zote zenye class fulani
✅ Kuchagua elements zote zenye tag fulani kama p au div
✅ Kuelewa nini maana ya HTMLCollection na kwa nini ni “live”
✅ Jinsi ya kubadilisha maandishi au style ya elements nyingi mara moja
✅ Kutumia Array.from() kubadilisha HTMLCollection kuwa array halisi
💻 Utaelewa pia:
👉Tofauti kati ya getElementById na getElementsByClassName
👉Umuhimu wa kutumia id kwa element ya kipekee na class kwa makundi ya elements
👉Misingi ya DOM Manipulation inayotumika kwenye frameworks kama React, Vue, na Angular
🎯 Video hii ni:
Kwa wanaoanza kujifunza JavaScript, HTML, au Web Development na wanataka kuelewa jinsi JavaScript inavyoweza kushirikiana moja kwa moja na HTML kupitia DOM.
🔥🎬 ─ Karibu kwenye Channel yangu - Mohamed Hafidh! ─🎬🔥
Hapa tunajifunza na kukua PAMOJA kila wiki kupitia maudhui yatakayokupa maarifa ya kufanya maamuzi sahihi na kufikia malengo yako.
⭐ Tegemea video zilizojikita katika ─ Teknolojia ─ , na mengi zaidi ya kuvutia! 🚀
──
🌟 Lengo langu: Kukusaidia kujifunza, kukua, na kufurahia safari yako ya maarifa. Kila mmoja ana uwezo wa kufanikisha malengo yake! 💪
─ Si video tu. Kila content ni kwa ajili ya kukufanya uwe bora, ujue zaidi, na uweze kushinda katika maisha ya kila siku.
───────
✅ ─Usisahau: ─
👉 ─Subscribe ─ ili upate video mpya kila mara
1️⃣ ─ SUBSCRIBE ─ sasa hivi → / @mohamedhafidh255
🔔 ─ Wash kengele ─ ili usipitwe na updates
2️⃣ ─ WASHA NOTIFICATION ─🔔 (ili upate video zangu KILA NIKITOA)
───────
🔗 ─ Usibaki nyuma! Pata updates za haraka, maswali na majibu (Q&A) na maudhui mengine ya kipekee.
🌐 ─ Ungana nami kwenye mitandao:─
📱 WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
───────
🙏 Asante kwa kuwa sehemu ya community yetu – tunajifunza na kukua pamoja!
#webdevelopment #javascript #mohamedhafidh_tz
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: