ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Safari yangu ya youtube ndani ya mwaka mmoja/kiasi gani nimelipwa/hatua za kufuata mpaka unalipwa.

Автор: jikoni kwa mama Swaumu

Загружено: 2024-12-30

Просмотров: 1207

Описание: Ni rahisi kuanza youtube channel lakini kuiendeleza ndio kazi kubwa unabidi uwe consistency yaani unapost mara kwa mara video.

Thumbnail au picha ya mbele ya video pia iwe na ushawishi pia iendane na video.

Pia title au kichwa cha habari unachoandika kiwe cha kueleweka.

Video ziwe zimerecordiwa vizuri kamera imetuliwa na zimeeditiwa vizuri kuna app nyingi za kuedit video.

Uchague mada au niche nzuri za kupendwa kama vile mapishi,urembo, siasa,ujasiriamali nk

Hatua za kulipwa
1.uwe na subscribers 1000 kutegemea na nchi kuna nchi nyingine wanaishia subscribers 500

2.uwe na masaa 4000 ya kuangaliwa pia inategemea na nchi kuna nchi wanaishia masaa 3000.

3.uombe kuanza kulipwa/Apply for youtube monetization kisha matangazo yatawekwa kwenye video zako.

4.Fungua Google adsense account inafunguliwa Google huko unaandika na sanduku la posta kama hauna omba la mtu mwingine.

5.kisha unasubiri namba za siri adsense pin wiki 3 mpaka 4 zinatumwa kwenye sanduku la posta.

6 ukishazipata unaziingiza hukohuko kwenye adsense account kuna mwongozo ni rahisi.

7.kisha utajaza taarifa za bank yako na taarifa za kodi

8.kisha utaanza kulipwa kwa dola utaziona kwenye Google adsense account au youtube studio.

9.utasubiri zifike dola 100 ndo uanze kuzitoa

10.Mambo haya yote yanaweza kuchuka miezi michache, mwaka au zaidi ya mwaka inagemea na mtu na nchi.

ANZA YOUTUBE 2025

   • Bustani yangu ya mazao ya chakula/kupalili...  

   • Maendeleo ya bustani yangu/kupika maharage...  

#finally monetised #jinsi ya kufungua youtube #safari ya youtube #youtube journey #Google adsense pin #problems with the adsense pin #food content creator #Tanzanian youtuber#how to get 1000 subscribers #4000watchtime #happy new year #heri ya mwaka mpya.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Safari yangu ya youtube ndani ya mwaka mmoja/kiasi gani nimelipwa/hatua za kufuata mpaka unalipwa.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

CLAM VEVO AFUNGUKA UTAJIRI WAKE, MAMILIONI ANAYOINGIZA KUPITIA YOUTUBE

CLAM VEVO AFUNGUKA UTAJIRI WAKE, MAMILIONI ANAYOINGIZA KUPITIA YOUTUBE

Njia nzuri ya kupika maandazi/Jinsi ya kupika maandazi ya nazi

Njia nzuri ya kupika maandazi/Jinsi ya kupika maandazi ya nazi

KIMENUKAA

KIMENUKAA "DUDU BAYA amlipua Mr Nice amtaja chief godlove yupo nyuma ya pazi kenya

Jamie Dimon: 6 Investing Rules You Can’t Ignore

Jamie Dimon: 6 Investing Rules You Can’t Ignore

Unalipwaje ukiwa na YouTube Channel How YouTubers get paid

Unalipwaje ukiwa na YouTube Channel How YouTubers get paid

Jinsi ya kupika Bhajia za Dengu | Diko By Monalisa

Jinsi ya kupika Bhajia za Dengu | Diko By Monalisa

Jinsi ya kupika tambi za dengu za biashara/biashara ndogondogo.

Jinsi ya kupika tambi za dengu za biashara/biashara ndogondogo.

POLISI WATINGA  KWENYE MKUTANO WA CUF  NA WAANDISHI WA HABARI /TUNATAKA AMANI ITAWALEE

POLISI WATINGA KWENYE MKUTANO WA CUF NA WAANDISHI WA HABARI /TUNATAKA AMANI ITAWALEE

Как приготовить яичный бириани с обычным рисом/бирьян без риса басмат/жареного яйца.

Как приготовить яичный бириани с обычным рисом/бирьян без риса басмат/жареного яйца.

Kiasi wanacholipa YouTube kwa kila view

Kiasi wanacholipa YouTube kwa kila view

YOUTUBE INALIPA KIASI GANI KWA MWEZI? | JINSI YA KUPATA PESA ZAKO

YOUTUBE INALIPA KIASI GANI KWA MWEZI? | JINSI YA KUPATA PESA ZAKO

Kwanini YouTubers na Wafanyabiashara Wengi Wanafeli (Miezi 3 ya Kwanza)

Kwanini YouTubers na Wafanyabiashara Wengi Wanafeli (Miezi 3 ya Kwanza)

Эти 8 Фраз сразу выдают Глупца! Вы слышите их каждый день! Еврейская мудрость

Эти 8 Фраз сразу выдают Глупца! Вы слышите их каждый день! Еврейская мудрость

DUDUBAYA AMCHEKA HARMONIZE

DUDUBAYA AMCHEKA HARMONIZE "AMEPOTEA KIMUZIKI" HAWEZI KUFIKA KIMATAIFA // NI WA HAPA HAPA TU..

Jinsi ya Kufungua YouTube Channel na Kupata Pesa | Hatua 5 Rahisi | YouTube Monetization

Jinsi ya Kufungua YouTube Channel na Kupata Pesa | Hatua 5 Rahisi | YouTube Monetization

Unawezaje kuwa Full-Time Content Creator na kupata kipato

Unawezaje kuwa Full-Time Content Creator na kupata kipato

Jinsi ya kukaanga dagaa wa ziwa Victoria kwa ajili ya biashara au zawadi.

Jinsi ya kukaanga dagaa wa ziwa Victoria kwa ajili ya biashara au zawadi.

ЧТО ПИТЬ, Чтобы Быстро Улучшить Кровообращение В Ногах? После 60! Доктор Мясников

ЧТО ПИТЬ, Чтобы Быстро Улучшить Кровообращение В Ногах? После 60! Доктор Мясников

Сахар “скачет” после еды? Собираю тарелку без пиков (16 продуктов) из бюджетных продуктов.

Сахар “скачет” после еды? Собираю тарелку без пиков (16 продуктов) из бюджетных продуктов.

Забудьте о боли в пояснице! Врач показал самое простое и рабочее упражнение | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

Забудьте о боли в пояснице! Врач показал самое простое и рабочее упражнение | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]