Homa ya Dengue imevamia Dar es Salaam: Unaifahamu? Tazama ufafanuzi wake
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-03-21
Просмотров: 6258
Описание: Wizara ya Afya imethibitisha kuibuka tena kwa Homa ya Dengue na tayari wagonjwa 11 wamethibitika kuwa na maambukizi ya ugonjwa huo. Kutoka Wizara ya Afya, amekuja Charles Dismas Mwalimu (Mtaalamu wa Udhibiti wa Wadudu Waenezao Magonjwa) kwaajili ya kutoa elimu juu ya ugonjwa huo. Ungana na Jamal Hasheem kufahamu zaidi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: