TAKUKURU YAPONGEZWA NA KAMATI YA BUNGE KWA UJENZI WA OFISI ZAKE
Автор: Takukuru Tanzania
Загружено: 2026-03-14
Просмотров: 163
Описание: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) imetembelea na kukagua jengo la Ofisi ya TAKUKURU wilaya ya Nyang'hwale mkoani Geita. Ukaguzi huo umefanyika leo Machi 14, 2026.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: