Jinsi ya Kupika MAHARAGE Ya NAZI Matamu Sana(Jaribu Kupika Leo!)...
Автор: Eze Kitchen
Загружено: 2024-03-09
Просмотров: 2273
Описание:
Katika video hii, utajifunza jinsi ya kupika maharage ya nazi ambayo ni MATAMU na yenye KUVUTIA.
Nitakwenda Na Wewe hatua kwa Ili kupika Maharage Ya Nazi Yenye Ladhaa Nzuri Sana.
Piah Nitakuelekeza Baadhi Ya viungo Vya Kutumia Na vinavyopatikana kwa urahisi,ili Kuweza kuandaa Maharage Haya.
Hivyo, fuatilia video hii ili kugundua siri ya kutengeneza maharage ya nazi yenye ladha ya kipekee.
SUBSCRIBE
Usisahau KUSUBSCRIBE Kwenye Channeli Ili Kupata Video Za Mapishi Kila Ninapotuma👇
https://youtube.com/@ezekitchen?si=ON...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: