DUDU Baya Aitwa BASATA / Afunguka Kumpiga JUMA LOKOLE
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-03-25
Просмотров: 28776
Описание:
DUDU Baya Aitwa BASATA / Afunguka Kumpiga JUMA LOKOLE
Leo Machi 25, Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemuita na kuzungumza na mwanamuziki wa Hip Hop nchini, Dudu Baya, kuhusiana na mwenendo wake lakini pia kazi zake za muziki kiujumla..
Akizungumza na Global TV baada ya kuzungumza na Basata, Dudu Baya a.k.a Konki Master, amesema Basata ni kama wazazi na wanapoona mtoto anakosea wana wajibu wa kumuita na kumuelekeza na ndicho haswa walichomuitia...
Dudu baya amefunguka pia kuhusu video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha akimshushia kipigo kijana mmoja anayefahamika kwa jina la, Juma Lokole, ambapo amekiri kuwa ni kweli alimtwanga na wala sio kiki kama wengi wanavyodhani...
#KonkiMaster
https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho
Category
Entertainment
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: