Wagabra wawatenga kina mama waliopata watoto nje ya ndoa, wanaume wakiruhusiwa kuoa tena
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-31
Просмотров: 1612
Описание:
Mila na tamaduni ya jamii ya Wagabra huwatenga kina mama na wasichana waliopata watoto nje ya ndoa..
Kina mama hao pia hawatakiwi kuhudhuria au kushiriki sherehe zozote za kitamaduni ikisemekana kuwa hiyo ni mwiko. Hata hivyo wanaume waliohusika wanaruhusiwa kufanyiwa matambiko na kisha kuruhusiwa kuoa mke mwingine
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: