"Nilihisi mimi ni sauti ya watu wenye sauti zisizosikika”
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2024-08-13
Просмотров: 19052
Описание:
Salim Ahmedy Issa maarufu kama Gabo Zigamba ni muigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka Tanzania amezungumza na Regina Mziwanda kuhusu masuala mbalimbali ya uigizaji ikiwemo historia ya jina la Gabo Zigamba.
Kutazama kwa kina mahojiano haya tembelea ukurasa wa Youtube wa BBCSwahili
#bbcswahili #sanaa #filamu
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: