Jinsi ya kufanya kilimo cha ulezi uvune mazao mengi na Faida zake
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-08-09
Просмотров: 3153
Описание:
Ulezi ni zao la asili, shirika la chakula duniani (FAO) likisema kuwa nafaka hiyo ni muhimu siyo tu kwa mlo bali pia kwa kuinua kipato cha wakulima wadogo.
Mwananchi Digital imezungumza na mtafiti kutoka kituo cha utafiti cha Tari Hombolo hapa jijini Dodoma, Dk Robertson Simbagije ambaye ni mtafiti mkuu wa mazao ya uwele, ulezi na mtama na hapa anatueleza jinsi ya kufanya kilimo hiki.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: