MAKOSA 5 ya Kuepuka Unapokuwa na Ujauzito wa Kwanza (Ushauri wa Doula)
Автор: Doula Miriam
Загружено: 2026-01-13
Просмотров: 2
Описание:
Karibu Bliss Mama Care Channel 💕 Mimi ni Miriam, mama ambaye alipata kujifungua nyumbani bila msaada wa hospitali baada ya upasuaji wa kwanza (VBAC).
Kwenye chaneli hii, nashiriki elimu ya kujifungua kwa asili (natural birth education) — ili wamama wapate kujiandaa kwa kujifungua kwa amani, bila hofu, na kwa ujasiri.
Leo tutaongelea kuhusu: MAKOSA 5 ya Kuepuka Unapokuwa na Ujauzito wa Kwanza (Ushauri wa Doula)
🌸 Pakua Mwongozo Wangu Bure:
https://selar.com/61b2k51106?currency...
💬 Ungana nami WhatsApp kwa mafunzo ya kujifungua:
👉 https://wa.me/255692664924
💕 CONNECT WITH ME:
🔸 YouTube: / @bliss_mamacare
🔸 Instagram: https://www.instagram.com/bliss_mamac...
🔸LinkTree: https://linktr.ee/miriamvictorisrael?...
KANUSHO LA MUHIMU (MEDICAL DISCLAIMER):
----------------------------------------------------------------------------------
Mimi (Doula Miriam) Birth Doula na Mwelimishaji wa Uzazi, SI daktari wala mkunga. Taarifa zote zilizomo kwenye video hii zimekusudiwa kwa madhumuni ya elimu, uhamasishaji, na usaidizi wa kihisia na kimwili (non-clinical support) tu.
SI MBADALA WA USHAURI WA KITABIBU: Taarifa hizi hazipaswi kutumika badala ya ushauri, uchunguzi, au matibabu kutoka kwa mtaalamu wako wa afya (daktari au mkunga) anayejua historia yako ya kimatibabu. Ikiwa una wasiwasi wowote kuhusu afya yako, uzoefu wa leba, au mtoto wako, TAFADHALI WASILIANA NA DAKTARI WAKO AU MKUNGA HARAKA IWEZEKANAVYO.
----------------------------------------------------------------------------------
Bliss Mama Care haichukui jukumu lolote kwa maamuzi unayofanya kulingana na maudhui haya bila kushauriana na mtaalamu wa afya.
#KujifunguaKwaAmani #VBACSwahili #BirthEducation #HomeBirth #NaturalBirth #MiriamNyanda #MamaWaVBAC
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: