SINGIDA: MAZINGIRA MABOVU YANAVYOWAKERA WAFANYABIASHARA WA VITUNGUU...
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2022-04-04
Просмотров: 1268
Описание:
SINGIDA: MAZINGIRA MABOVU YANAVYOWAKERA WAFANYABIASHARA WA VITUNGUU...
Wafanyabiashara wa Soko la Kimataifa la Vitunguu Mjini Singida Wamelalamikia Miundombinu Mibovu ya Soko Hilo Ikiwemo Mazingira Machafu Ambayo yanaleta Kero katika Utendaji Kazi wa Shughuli Zao.
Wakizungumza na #WasafiMedia Baadhi ya Wafanyabiashara na Wasimamizi wa Soko Hilo Wameiomba Serikali kuboresha Miundombinu ya Soko hilo ili Iendane na Hadhi ya Kimataifa kwa kuwa Linawaleta Pamoja Wafanyabiashara Kutoka Mataifa Mbalimbali.
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: