Jinsi ya kupika vileja/Cookies bila kifaa maalumu na kwa njia rahisi
Автор: Lady Sade Channel
Загружено: 2022-05-12
Просмотров: 15213
Описание:
VILEJA/COOKIES
MAHITAJI
Unga ngano 250 gms(robo kilo)
Sukari 180 gms
mafuta 160 mls
mayai 2
viini vya mayai viwili(2)
baking powder 2tsp
maji ya ndimu 2 tsp
vanilla/fleva 2 tsp
chumvi robo vijiko viwili vya chai
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: