LIVE: CLOUDS 360 NA KUNANI 🇹🇿 I MASTORI YA TOWN I USHURU WA SWIMMING POOL I TEKNOLOJIA I 05.03.2026
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 677
Описание: Ianze siku yako kwa kutufuatilia kupitia kipindi cha Clouds 360 ya Clouds Tv ujionee habari mbalimbali za ndani na nje ya Tanzania, mastori ya town na kunani Tanzania na Dkt. Sam Sasali, Sophia Kessy, Paul James (PJ) na James Tupatupa na leo Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni Mhe. Songoro Mnyonge, ambaye ndiye muhusika mkuu wa wazo la wamiliki wa swimming pool kuanza kulipia ila tutakuwa na mtaalam wa Teknolojia @rc_kweka #Clouds360 kuanzia 12:30 live on @Cloudstv #LainiYaWana #Nyoosha #MalkiawaNguvu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: