KAMANDA MUTAFUNGWA KWENYE BASI LILILOTEKETEA KWA MOTO, ATOA MAAGIZO "TUTALAZIMIKA KUSITISHA LESENI"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-08-01
Просмотров: 5527
Описание:
Kufuatia tukio la ajali ya gari ya abiria kampuni ya Salvation linalofanya safari zake kati ya Karagwe,Bukoba hadi Mwanza lililoteketea Kwa moja Siku mbili zilizopita baada ya kufika eneo la Ilemela lililopo Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera wakati likielekea jijini Mwanza
Tukio hilo limemlazimu Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani Wilbroad Mutafungwa kufika eneo hilo sambamba na kutoa maagizo ya serikali Kwa madere wote nchini
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: