SERIKALI YATOA BIL. 1.3/- KUKAMILISHA UJENZI WA SOKO LA RENAGWE
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2024-02-28
Просмотров: 154
Описание:
#ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo #wizarayaafya #wizarayaulinzi
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeridhia kutoa sh. bilioni 1.3 ili kukamilisha soko la kimataifa la mazao ya kilimo lililopo Renagwe, wilayani Tarime, mkoani Mara.
Ametoa kauli hiyo leo (Jumatano, Februari 28, 2024) wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa Sirari kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Tarafa, wilayani Tarime, mkoani Mara.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: